KRC Genk imepata sare ya mabao 3-3 ikiwa nyumbani dhidi ya wageni Waasland-Beveren.Mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta amefunga bao la pili ambalo lilikuwa la kusawazisha.Wageni Waasland-Beveren walipata mabao mawili ya harakaharaka na kuongoza kwa 2-0.Lakini
Genk ilisawazisha kupitia Naranjo kabla ya Samatta kufunga la pili na
Leandro Trossard kufunga la tatu lakini wageni wakakomaa na kusawazisha
katika dakika ya 90 kupitia Zinho Gano.
VIKOSI:
KRC Genk
Jackers –
Nastić, Brabec, Colley, Khammas (63. Maehle) – S. Berge, Trossard,
Malinovskyj (67. Naranjo) – Buffel (C), Samatta, Manuel (46.
Schrijvers).
Waasland-Beveren
Goblet – Jans, Moren, Camacho, Demir – Seck (C), J. Cools – Myny (63. Boljević), Morioka, Opoku Ampomah (75. Cerigioni) – Gano.
Comments
Post a Comment