NYUMBA 50 ZILIZOJENGWA NA MKAPA FOUNDATION ZAKABIDHIWA KATIKA MIKOA YA SIMIYU,KAGERA NA GEITA

 Barozi wa Japan nchini Tanzania Masaharn Yoshinda akipokelewa na kuelekezwa mahali pa kuketi
 Mama Janet Magufuli awasili katika viwanja vya Chato na kufanyiwa mapokezi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli awasili katika viwanja vya Chato kwenye hafla ya kukabidhi nyumba 50 zilizojengwa na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, wazee na watoto kwa ushirikiano na Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa kwa afadhili wa mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi,Kifua kikuu na Malariana kukabidhiwa katika mkoa ya Kagera,Simiyu na Geita.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wakati akielekea mahali pa kuketi.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisaini kwenye kitabu cha wageni.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akisaini kwenye kitabu cha wageni.

Viongozi wa Dini wakifanya maombi katika hafla hiyo.

Wananchi katika hali ya utulivu
 Mkuu wa Wilaya ya Chato Rodrick Mpogolo akitoa utambulisho wa ngazi ya Wilaya
 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akimtuza mmoja wa wasanii waliotumbuiza katika hafla hiyo.
  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe, Safiri Nikasi Mayala akimtuza mmoja wa wasanii waliotumbuiza katika hafla hiyo.
 Baadhi ya viongozi wakimtuza mmoja wa wasanii waliotumbuiza katika hafla hiyo.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akimtuza mmoja wa wasanii waliotumbuiza katika hafla hiyo ya kukabidhi nyumba 50 zilizojengwa na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, wazee na watoto kwa ushirikiano na Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa kwa afadhili wa mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi,Kifua kikuu na Malariana kukabidhiwa katika mkoa ya Kagera,Simiyu na Geita.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akimtuza mmoja wa wasanii waliotumbuiza katika hafla hiyo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea kamba kutoka kwa mmoja wa wazee maarufu wa Wilaya ya Chato kama ishara ya kupokea ng'ombe aliozawadiwa na wanaChato.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka akizungumza katika hafla hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mstafa Kijuu akizungumza katika hafla hiyo.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akimkabidhi Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu  hati ya nyumba 50 zilizojengwa na Mkapa Foundation katika Mikoa ya Simiyu,Kagera na Geita.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Rodrick Mpogolo  hati ya nyumba zilizojegwa na Mkapa Foundation katika Wilaya ya Chato.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukombe hati ya nyumba zilizojegwa na Mkapa Foundation katika Wilaya ya Bukombe
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya hati ya nyumba zilizojengwa kwenye Wilaya hiyo ya Biharamulo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa kimkabidhi Mbuge wa Jimbo la Maswa Mhe. Stansilaus Nyongo hati ya nyumba zilizojengwa na Mkapa Foundation kwenye Wilaya hiyo ya Maswa.



Comments