MRADI WA REA AWAMU YA TATU KUZINDULIWA RASMI GEITA KWA NGAZI YA MKOA




Mkurugenzi wa mradi wa umeme vijijini REA Eng. Gissima B. Nyamohanga  akielezea Juu ya Mradi  wa REA kwenye ufunguzi wa Mradi huo uliozinduliwa Mkoani Geita kwa ngazi ya Mkoa  na kuzinduliwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani akizungumza na wananchi wa Nyangw'ale alipokwenda kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa umeme vijijini REA kimkoa uliofanyika Wilayani humo.

 
 

Picha ya wakandarasi wa Mradi wa Umeme Vijijini REA wanaojulikana kwa jina la JV WHITE CITY INTERNATIONAL CONTRACTORS & GUANGDONG JIANNENG ELECTRIC POWER ENGENEERING CO. LTD
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani akionyesha kifaa kinaweza kumhudumia umeme mwananchi bila utandazaji wa waya kiitwacho Umeme Tayari(UMETA) kinachouzwa shilingi elfu thelathini na sita tu na kuwaagiza wakandarasi wa mradi huo kutozidisha bei ili wananchi wanyonge waweze kunufaika na mradi huo.



Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani akiwakabidhi baadhi ya wazee wanyonge kifaa hicho cha UMETA bure ili waweze kupata huduma ya umeme majumbani kwao.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani akikata utepe kwa ajili ya ufunguzi wa mradi huo wa umeme vijijini REA


Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani akifunua jiwe ia msingi.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenereli Mstaafu Ezekiel Kyunga akibonyeza kitufe cha alamu kuashilia kufunguliwa kwa Mradi huo wa REA kwa Mkoa wa Geita.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini akibonyeza kitufe cha alamu kuashilia kufunguliwa kwa Mradi huo wa REA kwa Mkoa wa Geita.
Mkurugenzi wa mradi wa umeme vijijini REA Eng. Gissima B. Nyamohanga akisoma jiwe la msingi baada ya kufunuliwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani(Mb).
Mmoja wa wataalamu wa Shirika la Umeme Tanesco Emanuela Nyaki akielezea matumizi ya kifaa cha Umeme Tayari(UMETA).

Picha ya Pamoja ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani,Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenereli Mstaafu Ezekiel Kyunga,Mbunge wa Jimbo la Nyangw'ale Mhe, Husein Kasu, ,Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mhe. Constantine Kanyasu,  ,Mbunge wa Jimbo la Mbongwe Steven Masele,Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe, Doto Mashaka Biteko na wakandarasi wa  Mradi wa REA Mkoa wa Geita.


Picha ya Pamoja ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani,Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenereli Mstaafu Ezekiel Kyunga,Mbunge wa Jimbo la Nyangw'ale Mhe, Husein Kasu, ,Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mhe. Constantine Kanyasu,  ,Mbunge wa Jimbo la Mbongwe Steven Masele,Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe, Doto Mashaka Biteko
Picha ya Pamoja ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani,Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenereli Mstaafu Ezekiel Kyunga,Mbunge wa Jimbo la Nyangw'ale Mhe, Husein Kasu, ,Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mhe. Constantine Kanyasu,  ,Mbunge wa Jimbo la Mbongwe Steven Masele,Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe, Doto Mashaka Biteko

Comments