MKAPA FOUNDATOIN WAFANYA UFUNGUZI WA NYUMBA ZA WATAALAMU KATIKA ZAHANATI YA MKUNGO-CHATO




Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Mkungo waliokusanyika katika ufunguzi huo wa nyumba za wataalu wa huduma ya Afya katika Zahanati ya Kijiji hicho.
Waziri wa  Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, wazee na watoto Mhe Ummy Mwalimu wakisalimiana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akisalimiana na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani baada ya kuwasili kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mkungo iliyoko Wilaya ya Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kufanya ufunguzi wa Nyumba za watalam wa huduma ya Afya kwenye Zahanati hiyo ya Mkungo.
  Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Mhe. Joseph Kasheku Msukuma



  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani(Mb) akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Mkungo kilichoko Wilaya ya Chato kwenye hafla hiyo ya ufunguzi wa Zahanati ya Mkungo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe, Benjamin Wiliam Mkapa akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mkungo alipokwenda kwa ajili ya ufunguzi wa nyumba za watalam wa Zahanati ya Mkungo zilizojengwa na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, wazee na watoto kwa ushirikiano na Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa kwa afadhili wa mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi,Kifua kikuu na Malaria na kuzikabidhi rasmi katika Halmashauli ya Wilaya ya Chato.

Comments