MBUNGE DOTO AJICHOTEA BARAKA KWA KUWASALIMIA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA CHARLES KULWA MEMORIAL HEATH CENTER ILIYOKO KATA YA UYOVU

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na baadhi ya wamama wa Kata ya Uyovu waliokuwa kwenye mlango wa hospitali ya binafsi yenye jina maarufu Charles Kulwa Memorial Health Center alipokwenda kwa ajili ya kuwasalimia wagonjwa.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akipokea maelezo kutoka kwa mmoja wa mama waliokuwa hospitalini hapo kwa ajili ya kumsimamia mwanakikundi mwenzao na kuahidi mkumlipia matibabu.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa na wamama waliokuja hospitalini hapo kwa ajili ya kumhuduia mwanakikundi mwenzao pamoja na Daktari na Mmiliki wa Hospitali hiyo ya Charles Kulwa Memorial Health Center

Comments