MBUNGE DOTO AFANYA UFUNGUZI WA BARABARA YA BUTAMBALA-MAGOROFANI

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na wakazi wa Magorofani baada ya kuwasili kwa ajili ya ufunguzi wa barabara hiyo.
 Balozi wa Mkuyuni Yahaya Butalotwa(mwenye shati nyekundu) akimsimlia jambo na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko
 Vijana  wakiwa tayari kwa ajili ya mashindano ya Baiskeli kwenye barabara hiyo mpya

 Wanakwaya wa kanisa la ufufuo na uzima maarufu kama MUNGU WA BENDERA wakitumbuiza katika mkutano huo wa ufunguzi wa barabara.
  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga kwa pamoja wakishiriki kuimba.
 Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima(Bendera) akifanya maombi kabla ya mkutano kuanza.
Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga akizungumza katika ufunguzi huo wa barabara la Butambala- Magorofani uliofanywa na    Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
   Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wananchi wa Kata ya Igulwa pamoja nq kata jirani katika ufunguzi huo wa barabara.

Comments