Machinga Fc washuka kwenye basi la DotoCup 2017

 Timu ya Mapinduzi Fc.
 Timu ya wafanyabiashara wadogo wadogo soko kuu la Ushirombo maarufu Machinga Fc wakiwa uwanjani.
 Timu ya Mapinduzi Fc wakipeana nasaha pamoja na sala tayari kuanza mchezo.

Wana wa Biashara maarufu Machinga Fc wamekubali kichapo cha goli 5 kutoka kwa Mapinduzi Fc baada ya kutoka sale ya moja kwa moja na kuanza penaliti ili kutafuta mshindi katika mchezo huo wa Ligi ya Doto Cup 2017 ngazi ya Kata ya Katente ikiwa ni nusu fainali.

 

Comments