DOTO CUP 2017 KUANZA RASMI

 Timu ya Rufuna Fc wakiwa uwanjani.
 Timu ya Bacerona Fc  kutoka Kata ya Katente wakiwa uwanjani kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Doto Cup 2017 uliofanyika katika uwanja shule ya msingi Ushirombo.
 Timu zote zikiwa uwanjani tayari



 Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi hiyo ya Doto Cup 2017 akikagua timu zilizoshiriki katika ufunguzi  huo.

  Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi hiyo ya Doto Cup 2017 akizungumza na wachezaji na kuwatakia mchezo mwema.
  Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi hiyo ya Doto Cup 2017 akijiandaa kupiga penati kwa ajili ya ufunguzi wa Ligi hiyo.
 Waamuzi wa Ligi hyo ya Doto Cup 2017 wakiwa katika picha ya pamoja


  Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi hiyo ya Doto Cup 2017 akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Baserona Fc baada ya mchezo kuisha.
  Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi hiyo ya Doto Cup 2017 akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Rufuna Fc baada ya mchezo kumalizika.
  Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Ligi hiyo ya Doto Cup 2017 akikabidhi kombe kwa nahodha wa timuya Rufuna Fc baada ya kuibuka mshindi kwenye ufunguzi wa Ligi ya Doto Cup 2017

  Wachezaji wa timu ya Rufuna Fc wakishangilia uku wamebeba kombe baada ya kuibuka mshindi kwenye ufunguzi wa Ligi ya Doto Cup 2017
Mwanamama akishangilia ushindi wa timu ya Rufuna Fc  uku amebeba kombe baada ya timu hiyo kuibuka mshindi kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Doto Cup 2017.

Comments