Skip to main content
Wananchi Jijini Mwanza Wafurika Ofisi Ya Tra Kulipia Kodi Ya Majengo
Wananchi
wa Jiji la Mwanza wakiwa wamepanga foleni nje ya Jengo la Ofisi za
Mamlaka ya Mapato Tanzania Kanda ya Mwanza, kusubiri muda wao wa kwenda
kulipia Kodi ya Majengo ambayo leo Juni 30 ndio mwisho wa kulipia kwa
wale ambao bado.
Comments
Post a Comment