
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza
(UK), Kangoma Kapinga, alipowasili ukumbini kwa ajili ya mazungumzo
katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,
leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole akisalimiana na Katibu wa CCM Tawi la Uingereza (UK)
Leybab Mdegela, alipowasili ukumbini kwa ajili ya mazungumzo katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole akienda kuketi kitini tayari kwa mazungumzo na ugeni
huo, Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma
Kapinga, na Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.

Wakiwa tayari kwa mazungumzo

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK),
Kangoma Kapinga, wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi
hilo Leybab Mdegela.

Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela (kulia) akifafanua jambo katika mazungumzo hayo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Tawi la
Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto
ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole akieleza jambo wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Humphrey Polepole akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa CCM Tawi la
Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu
wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela. PICHA: BASHIR NKOROMO
Comments
Post a Comment