Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa
wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye
ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha kwa
Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Mohamed Shein. Kulia ni Kamishna wa
Polisi Zanzibar CP Hamdani makame. Picha na Hassan Mndeme.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa kamati
ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati
hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar. IGP alikwenda pia
kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali Mohamed Shein.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na wajumbe wa kamati
ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na kamati
hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar. IGP alikwenda pia
kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali Mohamed Shein.
Picha na Hassan Mndeme.
Comments
Post a Comment