Fahamu Uhusiano Uliopo Kati Ya Unene & Uzito Kupita Kiasi ( Overweight & Obesity ) Na Tatizo La Ukosefu & Upungufu Wa Nguvu Za Kiume
Unene
na uzito uliozidi ( Obesity ) ni miongoni mwa vyanzo na
visababishi vikuu vya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu
za kiume.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu, asilimia kubwa ya wanaume wenye unene na uzito uliozidi, wanakabiliwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
KWANINI
WANAUME WENYE UNENE NA UZITO ULIOZIDI WANAKABILIWA NA HATARI
KUBWA YA KUPATWA NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Wanaume
wenye uzito na unene uliozidi wapo katika hatari kuu ya
kupatwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume
kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya unene/uzito uliozidi
pamoja na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Kama
tulivyo elezea katika makala zetu za nyuma, SUALA LA NGUVU ZA
KIUME NI SUALA LA KIMFUMO. Mfumo wa nguvu za kiume unahusisha
ogani mbalimbali katika mwili wa mwanadamu.
Ili
mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume, ni lazima ogani
zote zinahusika katika mfumo, ziwe imara na zenye afya njema,
na pia ni lazima ziwe na ushirikiano imara.
Kudhoofishwa
kwa ogani moja wapo kati ya ogani hizo kutasababisha mhusika
apatwe na tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
Kwa kukumbushia tu, mambo makuu muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume yapo matano ambayo ni
1. Ubongo imara na wenye afya njema
2. Mishipa imara ya kusafirishia damu mwilini
3. Mfumo imara na wenye afya wa usafirishaji damu mwilini.M .3
4.Mishipa na misuli ya uume iliyo imara na yenye afya njema
5.Pamoja
na uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu
iliyo katika ubongo ( nerves),mishipa ya kwenye uti wa mgongo (
spinal cords ) pamoja na mishipa & misuli ya kwenye uume.
Sasa
basi, hitilafu yoyote katika mojawapo kati ya mambo matano
tajwa hapo juu, itamfanya mhusika apatwe na tatizo la ukosefu
na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
UNENE NA UZITO ULIOZIDI UNA SABABISHA VIPI TATIZO LA UKOSEFU NA/AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Kwa
lugha nyepesi na yenye kueleweka kwa kila mtu, mtu mwenye
unene na uzito uliopitliza, maana yake ni kwamba ana mafuta ,
sukari na kolestrol nyingi katika damu yake.
Kwa
maana nyingine, ni kwamba kama wewe una unene uliopitiliza,
maana yake ni kwamba, ogani zilizomo ndani ya mwili wako
zinaogelea katika mafuta yaliyomo ndani ya mwili wako.
1.
Kolestrol nyingi katika damu, huathiri mfumo usafirishaji damu
katika mishipa ya inayo tumika kusafirisha damu katika sehemu
mbalimbali za mwili ikiwamo katika mishipa ya kwenye uume.
Matokeo yake basi , kolestrol hiyo husababisha kuziba kwa ateri
ambayo ndio njia itumikayo kupeleka damu katika mishipa na
misuli ya kwenye uume, na kama damu haitaweza kusafirishwa hadi
kwenye mishipa ya kwenye uume, maana yake ni kwamba, mwanaume
huyo hatokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake kwa sababu,
damu ndio inayo ufanya uume uweze kusimama.
2.
Kama ilivyo kwa kolestrol, sukari na mafuta mengi katika damu
huathiriki utiririkaji wa damu mwilini na hivyo kufanya vigumu
damu kutiririka kuelekea kwenye mishipa na misuli ya uume
ambayo ndio inahusika na kuufanya uume usimame.
3.
Unene na uzito uliopitiliza una uhusiano mkubwa sana na
ugonjwa wa kisukari. Na ugonjwa wa kisukari nao una uhusiano
mkubwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, kwa sababu
unaathiri mfumo mzima wa nguvu za kiume kama ifuatavyo :
Kwanza;unashambulia na kudhoofisha mishipa ya ubongo na kuifanya
ishindwe kuwa na uhusiano mzuri na mishipa ya kwenye uti wa
mgongo, pamoja na mishipa na misuli ya kwenye uuume. Pili
unashambulia na kudhoofisha mishipa ya usafirishaji damu mwilini
na tatu unasababisha kudhoofika kwa ogani muhimu katika mwili
wa mwanadamu kama vile figo.
Hivyo
basi, mwanaume mwenye unene na uzito ulio zidi, yupo katika
hatari kubwa sana ya kupatwa na tatizo la ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu za kiume, kuliko inavyo weza kufikiriwa.
4.
Unene na uzito uliopitiliza una uhusiano mkubwa na tatizo la
shinikizo la damu. Kwa lugha nyingine ni kwamba, watu wanene
wapo katika hatari kubwa sana ya kupatwa na tatizo la
shinikizo la damu,. na tatizo la shinikizo la damu nalo lina
uhusiano mkubwa sana na tatizo la ukosefu na upungufu wa
nguvu za kiume.
Shinikizo
la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu
iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango
inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na
hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo
mengineyo ya mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo
kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile
vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume,
kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume
ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya
kipindi kifupi sana tangu usimame.
Kama
hiyo haitoshi, tatizo la unene na uzito kupita kiasi lina
weza kupelekea mhusika kupatwa na magonjwa ya presha na moyo
ambayo nayo yanachangia tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume
kwa kiasi kikubwa sana.
SULUHISHO LA TATIZO NI NINI?
Kama wewe ni mwanaume mwenye tatizo la unene na uzito ulio zidi, unapaswa kufanya mambo yafuatayo:
i.
Kupunguza kolestrol mwilini: Unaweza kupunguza kolestrol na
mafuta mengi mwilini kwa kufanya mazoezi na diet ama kwa
kutumia dawa mbalimbali za asili ama vyote kwa pamoja.
ii.
Unapaswa kupunguza unene na uzito : Unaweza kupunguza unene na
uzito kwa kutumia mazoezi na diet ama kwa kutumia dawa asilia
ya MKATAA KITAMBI ambayo inasaidia sana kupunguza mafuta
mwilini, kupunguza unene na uzito.
TIBA ASILIA YA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME WENYE UNENE & UZITO ULIOZIDI.
Kwa
mwanaume mwenye unene & uzito uliozidi ambaye pia ana
sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, anashauriwa
kutumia dawa zifuatazo kwa pamoja
1. Dawa ya kuondoa kolestrol na mafuta mengi kwenye damu.
2. Dawa ya kupunguza unene na uzito pamoja na
3.
Dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo JIKO ambayo inatibu na
kuponya kabisa tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za
kiume ndani ya siku thelathini tu.
Dawa ya JIKO inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI.
Dawa
ya JIKO pamoja na dawa za kuondoa kolestrol & mafuta
mwilini, kupunguza unene na uzito zinapatikana katika duka la
kuuza dawa asilia la NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS
CLINIC lililopo jijini DAR ES SALAAM, katika eneo la TABATA
MAKOKA karibu na Shule ya Sekondari ya Mt. ANNUARITE.
AU
Ubungo jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa
wateja waliopo jijini DAR ES SALAAM, ambao hawana nafasi ya
kufika ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa wateja wa ZANZIBAR watatumiwa dawa kwa njia ya boti.
Kwa wateja wa mikoani, watatumiwa dawa kwa njia ya MABASI na
Kwa wateja wa ughaibuni, watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
Kwa taarifa zaidi kuhusu tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, tembelea kila siku :www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment