Bulembo kumaliza ziara yake Mkoani Geita kwa kujizolea wanachama wapya kede


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCm Alhaj Abdallah Bulembo akivishwa skavu baada ya kuwasili ofisi ya CCM Wilaya ya Geita Mkoani Geita.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akienda ukumbini baada ya kuwasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Geita mkoani Geita,
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiingia ukumbini huku akishangiliwa kwa nderemo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili meza kuu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi  Mkoa wa Geita, Mbunge wa Bukombe Doto Biteko na kulia ni Mwenyekiti wa Jumuia hiyo Wilaya ya Geita Ahmed Mbaraka na Katibu wa CCM Wilaya ya Geita Muhoja Mapande
 Alhaj Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuketi ukumbini
 Mwenyekiti wa umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)  Wilaya ya Geita Ally Rajabu akihamasisha wakati akisaliia baada ya kutambulishwa kwenye kikao hicho
 
 Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akishiriki kuapa wakati wanachama wapya waliohamia CCM kutoka Chadema walipokuwa wakiapa na kuungwa mkono na wanachama wote katika kiapo hicho
 Wanachama wapya wa CCM wakiapa
 Wanachama wa CCM wapya wakiapa huku wakiungwa mkono na wanachama wote waliokuwa ukumbini, kula kiapo hicho
 Alhaj Bulembo akimvalisha kofia mmoja wa wanachama hao wapya
 Alhaj Bulembo akiwahoji baadhi ya madiwani kuhusu mahusiano yao ya karibu na mabalozi yalivyo
 Alhaj Abdallah Bulembo akiwa tayari kikabidhi kwa diwani fedha zilizochangwa kwa ajili ya kumsaidia mlemavu mmoja aliyeomba msada wakati wa kikao hicho
 Alhaj Bulembo akikabidhiwa zawadi mwishoni mwa kikao hicho
 Alhaj Bulembo akiagana na baadhi ya wanachama wakati akitoka ukumbini baada ya kikao hicho mjini Geita.

Comments