Bulembo afika Mbogwe aanza na madereva bodaboda


 Msafara uliokuja kumpokea Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipokuwa anawasili Wilayani Mbogwe kutokea Chato

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya madereva bodaboda wa Wilaya ya Mbogwe na kupokea changamoto zao.

 Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiweka kitabu cha wageni vizuri tayari kwa kusaini, katikati ni mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Mbogwe Deus Lyankandu na anaefuata ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
  
 Stephen Thobias akizungumza baada ya kutangaza kuachana na Chadema na kujiunga na CCM wakati wa kikao hicho
 Nyambina Chacha akizungumza baada ya kutangaza kukihama Chadema na kujiunga na CCM wakati wa kikao hicho
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akionyesha kadi za Chadema baada ya waliokuwa wanachama wa chama hicho kumkabidhi na kuhamia CCM wakati wa kikao hicho. Waliosimama mbele ni wanachama hao baada ya kukabidhiwa kadi za CCM

Comments