BULEMBO AANZA ZIARA MKOANI GEITA, LEO NA KUFANYA MIKUTANO WILAYANI BUKOMBE




 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM na Jumuiya zake waliompokea katika eneo la Nampalahala baada ya kuingia katika mkoa huo kuendelea na ziara yake ya Kichama, leo.


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipeana mkono wa furaha na Katibu wa CCM mkoa wa GeitaAdam Ngalawa wakati wa mapokezi hayo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akivishwa vazi la heshima la Kabila la Wasukuma alipowasili wilayani Bukombe, leo. Anayemvisha ni Mzee wa Bukombe, Hakim Mstaafu Joseph Bulugu
 Alhaj Abdallah Bulembo akishukuru baada ya kupewa heshima hiyo.
 Alhaj Bulembo akiwasili ukubini kuongoza kikao cha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bukombe, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuia za Chama, Mabalozi na watendaji wa Serikali
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akijadili jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Geita na Mbunge wa Bukombe Doto Mashaka Biteko wakati wa kikao hicho
 Ofisa wa Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Omari Kalolo akisalimia wakati wa kikao hicho
 Ofisa kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Fadhili Mlami akisalimia wakati wa kikao hicho
 Katibu wa Siasa na Oganaizesheni Daniel Mgaya akisalimia wakati wa kikao hicho
 Wajumbe ukumbini wakati wa kikao hicho.
 Katibu wa CCM mkoa wa Geita Adam Ngalawa akizungumza wakati wa kikao hicho.
 Wajumbe wakiwa ukumbini.
 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Bukombe  Jacob Butachaga
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Geita na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza katika kikao hicho   

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizumza na wanaCCM wa Wilaya ya Bukombe katika ukumbu wa halmashauli ya Bukombe.
 Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Bukombe Zacharia Bwire akizungumza katika kikao hicho.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsikiliza kwa makini Mwl Omboko baada ya kurudisha kadi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na kuamua kwa dhati kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM

Comments