Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza
alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya
Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Jijini Dar es Salaam.
Wateja wakubwa wa Benki ya Biashara
Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), wakipakua futari iliyoandaliwa
na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya CBA Tanzania, Solomono Kawiche (wa kwanza kulia) akimuongoza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Mke wake kupakua futari.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko (wa kwanza kushoto) akipakua futari pamoja na wateja.
Wateja wakipata futari kwa pamoja.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara
Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko (kulia)
akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla pamoja na mteja wa CBA
Benki.
Comments
Post a Comment