RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA

Wabunge
wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la
kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9,
2017
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha Wabunge Mhe Ali Mohamed
Kessy (Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe (viti maalumu - Mkoa wa
Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) kupokea
magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam
leo Mei 9, 2017
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Nkasi Mhe Ali
Mohamed Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa
msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe
Lucy Mayenga baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa
msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu
Mhe. Munde baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe.
Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles
Mwankupili (kulia) na Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi
Kaskazini) Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu)
baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu
jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.
Comments
Post a Comment