Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha
Mbunge Dr Elly Marko Macha , katika Viwanja Bunge Mjini Dodoma March
03, 2017 .Mbunge huyo amefariki hivi karibuni alipokuwa kwenye matibabu
Nchini Uingereza. Picha na PMO
Comments
Post a Comment