RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI WA UMMA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA MKOANI DODOMA

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma kutoka kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
katika vitabu hivyo vya taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa
watumishi wa umma alivyopokea kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika
Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan na wakwanza kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma
(UDOM) Profesa Idris Kikula.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa kitabu
cha Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma
alivyopokea kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa
Chimwaga mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na
wakwanza kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Profesa
Idris Kikula.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinyanyua juu
Taarifa na vitabu vye majina 9,932 ya watumishi wenye vyeti vya kugushi.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
na kufungua boksi kubwa lenye majina ya watumishi zaidi ya 9,932
waliobainika kuwa na vyeti vya kugushi mara baada ya kupokea Taarifa ya
zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
majina hayo pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya
kufungua boksi kubwa lenye majina ya watumishi hao wa umma ambao
wamegushi vyeti vyao .
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma jina
mojawapo la mtumishi aliyegushi cheti katika taarifa hiyo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakiangalia vitabu vyenye majina
ya watumishi wa Umma zaidi ya 9,932 waliogushi vyeti vyao vya elimu ya
Sekondari.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Waziri
wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
Angela Kairuki wakiminya kitufe kuashiria maadhimisho ya miaka 10 ya
Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
viongozi mbalimbali, wanafunzi wa UDOM, pamoja na watumishi wa Umma mara
baada ya kupokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa
umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini
Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akagana na
watumishi mbalimbali wa umma, viongozi pamoja wanafunzi wa UDOM mara
baada ya kumaliza kuhutubia katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia katika hadhara hiyo katika Chuo kikuu cha Dodoma UDOM.
Wanafunzi
wa UDOM wakisikiliza kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
maadhimisho ya miaka 10 toka kuanzishwa kwake.
Baadhi ya
viongozi mbalimbali wakifatilia kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo cha UDOM toka kuanzishwa kwake.
Baadhi ya
Makatibu wakuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia
kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Chimwaga mkoani
Dodoma.
Baadhi ya
Makatibu wakuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, wanafunzi
pamoja na walimu wa UDOM wakipiga makofi wakati wakimkaribisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati
akiwasili katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Ukumbi wa Chimwaga.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya miaka 10 ya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM katika ukumbi wa
Chimwaga mkoani Dodoma.PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment