
Polisi
nchini Urusi wanamtafuta mwanaume mmoja anayeshukiwa kufanya mauaji ya
watu 11 kwenye treni huko St Petersburg nchini Urusi, ambaye umri wake
unahisiwa kuwa ni miaka 20 mwenye asili ya Asia.Katika tukio hilo watu
wapatao 45 walijeruhiwa kutokana na mlipuko uliotokea baina ya vituo
viwili vya treni ya aridhini hapo jana. Mamlaka za St Petersburg
imetangaza siku tatu za maombolezo.
Majeruhi akikimbizwa hospitali baada ya kutokea mlipuko
Majeruhi akiwa amebebwa akiwahishwa kupewa matibabu
Mtu huyu ndio anayetuhumiwa kuhusika na shambulizi hilo
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiweka shada la maua kuomboleza waliokufa
Comments
Post a Comment