WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI MAURITIUS KUMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI LA AFRIKA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiogozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritius,
Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo wakati alipopokelewa kwenye uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius kumwakilisha
Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Africa
mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la
Uchumi la Africa mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la
Uchumi la Africa mjini Port Luis kuanzi Machi 20, 2017. Kulia ni mkewe
Mary.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment