Wageni kutokea Ubarozi wa Uingereza na Ireland watembelea miradi mbalimbali Wilayani Bukombe

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akitambulisha wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland na Uingereza pamoja na wabunge wawili kutokea Biharamulo na Kakonko Jimbo la Buyungu Ofisini  kwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga


  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akitambulisha wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland na Uingereza pamoja na wabunge wawili kutokea Biharamulo Mhe Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago Ofisini  kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Dionis Myinga.

   Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland na Uingereza pamoja na wabunge wawili kutokea Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago  wakisikiliza maelezo ya namna ya utoaji huduma na changamoto za kituo hicho cha Afya kilichoko Kata ya Bukombe.

 Wakijionea hali halisi ya chumba cha kujifungulia cha Kituo hicho cha Afya cha kilichoko katika Kata ya Bukombe.
 Jengo jipya la kutolea huduma ya uzazi ambalo liko katika hali ya umaliziaji.
  Kituo  cha Afya  kilichoko katika Kata ya Bukombe kinachotoa huduma kwa sasa.

   Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland na Uingereza pamoja na wabunge wawili kutokea Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago  wakisikiliza maelezo na kujionea hali halisi ya hatua walioifikia wananchi wa Kata ya Lyambamgongo kwa kujitolea kwa hiari yao kuchangia  na kushirikiana na Mhe. Doto Mashaka Biteko katika ujenzi wa Kituo hicho cha Afya Lyambamgongo.
 

 Huu ndio mradi walioutembelea wafuatao:  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland Bi. Aran Corrigan,Isifu Lampo na Uingereza Bi.Helen Barners,Sylivester Ernest,Francis Sampa pamoja na wabunge wawili kutokea Jimbo la Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago .

   Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland Bi. Aran Corrigan,Isifu Lampo na Uingereza Bi.Helen Barners,Sylivester Ernest,Francis Sampa pamoja na wabunge wawili kutokea Jimbo la Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago katika picha ya pamoja na wanakikundi wenye mradi huo uliofadhiliwa hapo awali na DASIP .

  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland Bi. Aran Corrigan,Isifu Lampo na Uingereza Bi.Helen Barners,Sylivester Ernest,Francis Sampa pamoja na wabunge wawili kutokea Jimbo la Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago kwa pamoja wakipata maelezo ya Kituo cha Afya Uyovu Dkt. Ng'home(mwenye suti nyeusi) amesema kiyuo hicho kinaudumia watu wengi sana kuliko uwezo wa Kituo hicho.

   Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Kituo hicho cha Afya Uyovu.


 Bi Aran Corrigan kutokea Ubarozi wa Ireland na Sylivester Ernest(kushoto) kutokea Ubalozi wa Uingereza Dar Es Salaam-Tanzania pamoja na   Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko kwa pamoja wakimjulia hali mmoja wa wagonjwa aliyelazwa katika Kituo hicho cha Afya Uyovu.


  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland Bi. Aran Corrigan,Isifu Lampo na Uingereza Bi.Helen Barners,Sylivester Ernest,Francis Sampa pamoja na wabunge wawili kutokea Jimbo la Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu kwa pamoja wakipokea mafanikio na changomoto ya madereva wa pikipiki(bodaboda) na wachimbaji wadogo katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland Bi. Aran Corrigan,Isifu Lampo na Uingereza Bi.Helen Barners,Sylivester Ernest,Francis Sampa pamoja na wabunge wawili kutokea Jimbo la Biharamulo Mhe. Osca Mukasa na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago katika picha ya Pamoja na madereva wa pikipiki(bodaboda)  baada ya mazungumzo.


Picha ya pamoja ya wageni waliokuja katika Wilaya ya Bukombe kujionea miradi mbalimbali ambao ni  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko(mwenye shati nyeusi) na wageni waliotokea Ubarozi wa Ireland Bi. Aran Corrigan(wa kwanza kushoto),Isifu Lampo(wa kwanza kulia) na Uingereza Bi.Helen Barners(mwenye mtandio begani),Sylivester Ernest(mwenye miwani),Francis Sampa(wa pili kushoto) pamoja na wabunge wawili kutokea Jimbo la Biharamulo Mhe. Osca Mukasa(wa nne kutokea kushoto) na Kakonko Jimbo la Buyungu Mhe. Kasuku Bilago(wa tatu kutokea kulia).

Comments