Picha
namba 1-5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo tarehe
9/03/2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment