MBUNGE DOTO BITEKO AKUTANA NA WAALIMU WA UYOVU

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza na waalimu wa Shule ya Sekondari ya Uyovu.

Hawa ni baadhi tu ya waalimu wa Shule ya Sekondari Uyovu wakimsikiliza kwa makini Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko alipokwenda kuwatembelea shuleni hapo.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Uyovu.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwa katika Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

Comments