
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati,
Dkt. Juliana Pallangyo, (aliyesimama), akizungumza mbele ya wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wakati wa ziara ya kamati hiyo
kutembelea Mradi wa Umeme wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam, leo Machi
23, 2017.
Meneja
Msimamizi wa Mradi wa Kinyerezi I, Yuka Mukaibo kutoka kampuni
inayojenga mradi huo ya Sumitomo kutoka Japan, akizungumza mbele ya
wajumbe wa Kamati walipotembelea eneo la Mradi jijini Dar es Salaam,
Machi 23, 2017. Wakwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na
Madini, anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Palangyo, na wakwanza
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito Mwinuka.
Naibu
Mkurugenzi wa TANESCO, Mhandisi Khalid James, (aliyesimama), akitoa
ufafanuzi wa utekelezaji wa Mradi huo mbele ya wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Nishati na Madini waliotembelea kujionea maendeleo ya Mradi huo
Comments
Post a Comment