MKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA- BUKOMBE

 Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Ezekiel Kyunga (mwenye suti), Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe. Safari Nikas Mayala(kushoto) Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe Kasase kwenye uzinduzi wa magari mawili ya kubebea wagonjwa.



Madiwani wakiwa katika uzinduzi wa magari ya kubebea wagojwa.
 Daktari Mahona akisoma risala katika uzinduzi huo.
  Daktari Mahona akikabibhi risala kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe. Safari Nikas Mayala baada ya kuisoma


 Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Ezekiel Kyunga akikata utepe tayari kwa uzinduzi wa magari hayo ya kubebea wagonjwa Wilayani Bukombe
.

  Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Ezekiel Kyunga ikimkabidhi Kadi za magari hayo tayari kwa matumizi.

 Kwa Pamoja Wakipongezana

  Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Ezekiel Kyunga akuzungumza na Daktari Mahona baada ya uzinduzi wa magari hayo ya kubebea wagonjwa Wilayani Bukombe.

Comments