Katibu Mkuu wa CCM, Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia katika
sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo
katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa
Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula, akihutubia katika
sherehe za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo
katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa
Dodoma. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana
Viongozi wakiwa meza kuu baada ya kuwasili ukumbini kuendelea na sherehe hizo
Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole akihamasisha katika sherehe
za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika
ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Wanachama wa CCM wakiwa wamefurika ukumbini wakati wa sherehe hizo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na Waziri
Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa sherehe hizo leo katika ukumbi
wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Baadhi ya viongozi kwenye sherehe hizo
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimia wanacahama wa CCM
wakati wa sherehe hizoleo katika ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion
Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma. PICHA ZINGINE KEM KEM KUHUSU SHEREHE
HIZO/BOFYA HAPA
Comments
Post a Comment