Baadhi ya Shughuli zilizofanywa na Mhe. Doto Biteko alipokuwa Bungeni Dodoma

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akitoa taarifaya Kamati hiyo

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe Doto Biteko akitoa Majumuisho ya Kamati hiyo



Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko akiuliza nini hatima ya chumba cha kisasa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe




Comments