Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Emanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. James Msekela kuwa Balozi wa Tanzania Geneva –Umoja wa Mataifa,
Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Mbelwa Kairuki kuwa Balozi wa Tanzania nchini China, Ikulu jijini
Dar es salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. George Madafa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia leo Ijumaa
Januari 20, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Elizabeth Kiondo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki leo
Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Fatma Rajab kuwa balozi wa Tanzania nchini Qatar, Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Ijumaa Januari 20, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
machache baada ya kuwaapisha mabalozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Ijumaa Januari 20, 2017. Picha na IKULU

Comments
Post a Comment