
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony
Mtaka pamoja na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa kuashiria
ufunguzi wa barabara ya Barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.

Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiweka jiwe la ufunguzi wa barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa
wa Simiyu Antony Mtaka, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira
na Muungano Luhaga Mpina, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM Simiyu Titus Kamani na Mbunge
wa Bariadi Andrew Chenge.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Bariadi kabla ya kufungua
rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi, katika mkoa wa Simiyu.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Bariadi mara baada ya
kumaliza kufungua barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa
71.8.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment