MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WATUMISHI WA UMMA WA NJOMBE KATIKA KIKAO CHA MAJUMUISHO
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher
Ole Sendeka wakati alipozungumza kumkaribisha aongee na watumishi wa
umma, viongozi wa dini na wananchi kwenye ukumbi wa Manispaa ya Njombe,
katika kikao cha maumuisho ya ziara yake mkoani humo Januari 27, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma, viongozi wa
dini na wananchi katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa
Njombe kwenye ukumbi wa manispaa hiyo mjini Njombe, Januari 27, 2017.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Christopher Ole Sendeka.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi
ya watumishi wa umma , viongozi wa dini na wananchi wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika kikao cha
majumuisho ya ziara yake mkoani Njombe kwenye ukumbi wa Hlmashauri ya
Manispaa hiyo mjini Njombe , Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Comments
Post a Comment