Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mfanyabiashara Maarufu nchini,
Mustafa Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye makazi ya Waziri
Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na Mfanyabaishara
Maarufu nchini, Mustafa Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye
makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salam kumtembelea.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa
Sabodo ambaye Januari 29, 2017 alikwenda kwenye Makazi ya Waziri Mkuu,
Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembela. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Comments
Post a Comment