Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo
la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa
Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5, 2017. (Picha
na Bashir Nkoromo).
Katibu
Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni
za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, uliofanyika leo.
(Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenez, Humphrey Polepole, akisalimia wananchi
alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika
mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo
la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo).
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, akisalimia wananchi
alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika
mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo
la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo).
Wananchi
wakishangilia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za
uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani, Zanzibar leo.
.Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu, Ngemela Lubinga,
akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo
wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM VuaiAli Vuai akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana
Shamra shamra zikiendelea
Comments
Post a Comment