MAJALIWA AITEMBELEA FAMILIA YA MAREHEMU SOKOINE MONDULI JUU


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Napono Sokoine (wapili kulia) na Nekiteto Sokoine (kulia) ambao ni wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine wakati aipokwenda nyumbani kwa marehemu, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa katika ziara ya wilaya ya Monduli leo Desemba 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Monduli Juu akiwa katika ziara ya wilaya ya Monduli leo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokwenda nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa aktika ziara ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 20, 16. Kushoto kwake wajane wa marehemu, Napono Sokoine (wpili kulia) na kulia ni Nekiteto Sokoine . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokwenda nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa aktika ziara ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 20, 16. Kushoto kwake wajane wa marehemu, Napono Sokoine (wpili kulia) na kulia ni Nekiteto Sokoine . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

Comments