WAZIRI NAPE AKUTANA NA MSHAURI WA MASUALA YA UTAMADUNI KUTOKA UBALOZI WA IRAN KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA KIUTAMADUNI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Iran Bw. Ali Bagheri alipowasili kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya kiutamaduni leo Jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akizungumza masuala mbalimbali ya kiutamaduni na Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Iran Bw. Ali Bagheri alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam
Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Iran Bw. Ali Bagheri (kulia) akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye masuala mbalimbali ya kiutamaduni alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam

Comments