
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford
Tandari (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi
wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari ya Dar es salaam
Independent (DIS), wanaosomea masomo ya biashara ambao walitembelea
kituo hicho hivi karibuni ili kujifunza maswala mbali mbali yanayohusu
uwekezaji. wengine pichani ni wafanyakazi wa kituo hicho.

Afisa
Uhamasishaji na Uwekezaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Latifa
Kigoda akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa kidato cha tano na
sita wa Shule ya Sekondari ya Dar es salaam Independent (DIS),
wanaosomea masomo ya biashara ambao walitembelea kituo hicho ili
kujifunza maswala mbali mbali yanayohusu uwekezaji.

Meneja
wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Pendo
Gondwe akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa kidato cha tano na
sita wa Shule ya Sekondari ya Dar es salaam Independent (DIS),
wanaosomea masomo ya biashara ambao walitembelea kituo hicho ili
kujifunza maswala mbali mbali yanayohusu uwekezaji.

Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Pendo Gondwe akiwaonyesha wanafunzi hao, moja ya vyeti vinayotolewa na TIC kwa muwekezaji anayekamilisha taratibu zote za kuwekeza nchini.
Comments
Post a Comment