Mbunge wa Bukombe Mhe. Doto aunguna na wananchi wa Kata ya Bulega-Bukombe katika shughuli ya kujitolea kufanya upanuzi wa shule

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwa pamoja na wananchi wa Kata ya Bulega kwenye shughuli ya kujitolea kusomba mawe kwa hiari yao ili kujenga vyumba vya madarasa katika Shule ya msingi Bulega.


 Mawe yaliyokusanywa na wananchi tayari kwa kupakiliwa kwenye gari na kuelekea eneo la ujenzi.


 Wananchi wakitokea mlimani kukusanya mawe
  Wananchi wa Kata ya Bulega wakimsindikiza Mbunge wao kwa ndelemo na vificho baada ya kumaliza kazi ya ukusanyaji na upakiaji wa mawe kwa kujitolea.


  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwasikiliza wanafunzi alipokwenda shuleni hapo kwa ajili ya kuangalia jitihada zinazofanywa na wananchi wa Kata ya Bulega kwa kujitolea wenyewe katika ujenzi wa vyumba vya madarasa na vyoo katika shule ya msingi Bulega.


  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akishuhudia shughuli zinazofanywa na wananchi.


 Hiki ni choo kilichojengwa kwa nguvu za wananchi wa Kataya Bulega.



 Picha ya Shule ya Msingi Bulega inayojumlisha wanafunzi wa Shule mbili ambazo ni Nyikonga na Bulega yenyewe hali inayowasababishia kusoma kwa kusubiliana  na matokeo yake kutofikia malengo yao  kwani wana soma vipindi vichache kulingana mda.

 Hatua zilifanywa na wananchi wa Kata ya Bulega kwa kujitolea wenyewe.
  Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb) akiwa na mwalimu mkuu wa shule ya msingi Nyikonga, Afisa Mtendaji wa Kata ya Bulega katika eneo linalojengwa vyumba vya madarasa kwa nguvu za wananchi.

Comments