Shangwe za Lindima Kata ya Igulwa Baada ya Mbunge Doto kuwasili

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko(katikati),Diwani wa Kata ya Igulwa Richard Mabenga na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kapela Lusia Ndilo kwa pamoja wakishuhudia burudani toka kwa wananchi.


Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kapela Lusia Ndilo akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko kabla ya mkutano kuanza.


Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko kwenye Kitabu cha Wageni.


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Wilaya ya Bukombe Richard Jaba akizungumza na wananchi kwenye mkutano ulioandaliwa na  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
 
Diwani wa Kata ya Igulwa Richard Mabenga akizungumza na wananchi kwenye mkutano ulioandaliwa na  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bukombe Bw. Michael Bundala ikisema na wananchi wa Igulwa na Viunga vyake. 

Diwani wa Kata ya Busonzo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukombe Mhe. Safari Nikasi Mayala aliwaomba wananchi kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na kuwasihi vijana kuachana na makundi ambayo hayana nia njema katika maendeleo na badala yake wafanye kazi za uzarishaji mali  kwa bidii ili kuongeza pato la familia na Taifa kwa ujumla.



Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
Jopo la viongozi walioongozana na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko katika mkutano.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
Picha ya Baadhi ya Wananchi wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kwenda kumuuliza maswali Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.

Comments