PICHA ZA TUKIO LA UAGAJI WA MWILI WA MAREHEMU MHE. SAMUEL SITTA KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE LEO JIJINI DAR
Mwili
wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta Ukiwasili katika viwanja
vya Karimjee kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho kabla ya
kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa
ajili ya Maziko.
Baadhi
ya waombolezaji wakiwa katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya utoaji
wa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel
Sitta kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye
Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwasili katika
viwanja vya Karimjee kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho kabla ya
kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa
ajili ya Maziko, pembeni ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul
Makonda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli(Katikati), Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan(Mwenye shungi) Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Mhe. Benjamin Mkapa (wa mwisho kushoto) na Makamu wa Pili wa
Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif alli Idd (wa mwisho
kulia) wakifuatilia idaba ya kuuaga Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe.
Samwel Sitta katika viwanja vya Karimjee kwa ajili.
Jeneza
lenye Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta ukiwa katika
eneo maalum mbele ya waombolezaji kwa ajili ya kufanyiwa idaba na tukio
la utoaji heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini
Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.

Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi Mhe. Angela Kairuki akitoa salamu za
serikali wakati wa shughuli ya utoaji heshima za mwisho kwa Mwili wa
Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta kabla ya kusafirishwa kwenda
Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa ajili ya Maziko.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwaeleza jambo
Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif
alli Idd(katikati) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za
mwisho kwa Mwili wa Marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta kabla ya
kusafirishwa kwenda Bungeni Mjini Dodoma na Hatimaye Mkoani Tabora kwa
ajili ya Maziko.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisalimiana na
waombolezaji wakati wa shughuli za utoaji heshima kwa Mwili wa Marehemu
Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta.
Comments
Post a Comment