ONYESHO LA SANAA ZA UFUNDI LAFANA SWEDEN November 17, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Ni onyesho la sanaa za ufundi nchini Sweden lililoandaliwa na msanii kutoka Tanzania Kennedy Mmbando. Lengo la onyesho hilo ni kutangaza uzuri wa mazingira aa Tanzania pamoja na umuhimu wa kumlinda myama Tembo. Onyesho linaendelea mpaka December 14 Comments
Comments
Post a Comment