Mbunge Doto ajionea hali halisi ya mgodi wa Kerezia-Bukombe

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwa na baadhi ya Viongozi wa vikundi vilivyojiunga kwa ajili ya uchimbaji mdogo mdogo katika Pori la Halmashauri ya Bukombe(Kerezia).

 Ofisi za Muda za Wawekezaji hao baada ya kuonyeshwa vitalu tayari kwa kuanza uwekezaji.
 
 Baadhi ya wanakikundi wakiwa katika shughuli ya utafiti wa madini ndani ya Pori la Halmashauri ya Bukombe(Kerezia).

  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na baadhi ya wawekezaji waliyoko ndani ya Pori la Halmashauri ya Bukombe(Kerezia).
 

  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko ikijionea shughuli zilizokuwa  zinazoendelea ndani ya Pori la Halmashauri ya Bukombe(Kerezia) baada ya malalamiko mengi toka kwa wananchi dhidi ya eneo hilo.

 Maandalizi ya eneo kwa ajili ya uzalishaji.
 
  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwajulia hali wamama wanao andaaa chakula ndani ya mgodi huo.

Picha ya baadhi ya Wadau wa mgodi huo wakimsindikiza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko baada ya matembezi kwa ajili ya kujionea hali halisi ya eneo hilo.

Comments