Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangala (kulia) akisalimiana na matabibu wa dawa za asili mjini
Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wabunge wa Kambi ya Upinzani wakijadiliana jambo bungeni Dodoma
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata akiwa makini kusikiliza hoja bungeni
Mbunge wa jimbo la Pangani, Jumaa Aweso (kushoto) akijadiliana jambo na mbunge mwenzie
Mbunge
wa Viti Maalumu, Halima Bulembo (CCM), akichangia hoja kuhusu
mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/2017 bungeni Dodoma,
hasa jinsi ya kuwawezesha vijana nchini
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya wabunge
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chadema, Sophia Mwakagenda (kulia) akijadliana jambo na mbunge mwenzie
Mbunge
wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lisu (Chadema), akichangia hoja
bungeni, ambapo alihoji watu wasio husika kuwaweka kwenye makumbusho ya
mashujaa nchini.
Mbunge
wa Jimbo la Kilindi, Omary Kitua akichangia hoja wakati wa majadiliano
ya mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/17
Mbunge
wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT), akichangia hoja bungeni
Dodoma , katika mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/17.
Wabunge wakiingia bungeni Dodoma jioni hii
Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga akichangia mpango huo
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Charles Msigwa akichangia mpango huo
Comments
Post a Comment