Madarasa yanayojengwa Shule ya Ibamba-Bukombe yafikia hatua nzuri.





  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisaini kwenye kitabu cha wageni mara alipofika Shule ya Msingi Ibamba kujionea maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo shuleni hapo.

 Mhandisi wa ujenzi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Eng. Chacha M. Moseti (mwenye shati nyeupe) ikimweleza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa hutua zilizofikia katika ujenzi huo  ni za siku arobaini tu  na kumhakikishia kuwa desemba 2016 ujenzi huo utakuwa tayari umekamilika.
 


  Mafundi wakiendelea na Kazi.
 



 Picha ya Hatua ya majengo ya vyuma vinane vya madarasa katika Shule ya Msingi Ibamba baada ya Serikali kutuoa fedha kwa ajili ya kupunguza changamoto za wanafunzi kukaa na kusomea nje.

Comments