AMIRI JESHI MKUURAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI KUNDI LA 59/15 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la
59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 26,
2016.
Comments
Post a Comment