Ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mkoani Geita

 Waziri wa Maji na Umwagiaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akisaini  kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa baada ya kuwasili katika Mkoa wa Geita kwa ziara ya kukagua na kungalia maenendeleo ya miradi ya maji katika  Mkoa huo wa Geita.

 Waziri wa Maji na Umwagiaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akisaini  Kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita.


Mhandisi wa Maji wa Mkoa wa Geita Inj. Imaculate Rafael akitoa taarifa na changamoto za maendeleo ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Geita kwa  Waziri wa Maji na Umwagiaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge baada ya kuwasili Mkoani hapo kwa ziara.

 

 Waziri wa Maji na Umwagiaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akizungumza  na wadau wa Maji katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita

Comments