Waziri Mbalawa awakagua Mradi wa ujenzi wa Barabara ya Uyovu-Bwanga

 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Pro. Makame Mbalawa akiwa, Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na wadau wa Mkoa wa Geita wakikagua maendeleo ya Barabara ya Uyovu-Bwanga.

 Wadau wa Mkoa wa Geita upande wa Barabara wakimweleza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Pro. Makame Mbalawa mafanikio na changamoto Barabara ya Uyovu-Bwanga
  
  Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Pro. Makame Mbalawa akizungumza na wadau wa Barabara ya Bwanga-Uyovu huko akiwasihi wadau wa Barabara kusimamia kikamilifu ujenzi huo ili kuhakikisha wanapata Barabara imara nakuahidi kurudi mara kwa mara na kuangalia maendeleo ya ujunzi huo.






 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Pro. Makame Mbalawa wakiteta na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko baada ya ukaguzi wa Barabara hiyo ya Uyovu-Bwanga


  Vifaa vya Mkandarasi wa Uyovu-Bwanga.


Comments