Mbunge Doto awajulia hali wagojwa wa Kituo cha Afya Uyovu

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko  akizungumza na Daktari wa Kituo Afya  Uyovu akiwa ni hatua ya kujua hali halisi ya Kituo hicho.

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na baadhi ya wagonjwa katika zahanati hiyo.

Comments