Wazee wa Kitongoji Azimio wakutana Mbunge wao Mhe. Doto.

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akibadilishana mawazo na Diwani wa Kata ya Bulega kabla kikao kuanza cha wajumbe na wazee wa Kitonoji cha  Azimio

 Wajumbe wakiwa wametulia wakati kikao kikiendelea 
 Mwenyekiti wa Kitongoji cha   Azimio akifungua kikao na kukiacha wazi tayari kwa majadiliano.
  Diwani wa Kata ya Bulega Mhe. Eric Kagoma akizungumza na wakazi wa Kitongoji cha   Azimio


  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wakazi wa Kitongoji cha   Azimio



 Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza kwa makini Mhe. Doto Mashaka Biteko(Mb)  akizungumza na wakazi wa Kitongoji cha  Azimio


Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akimsikiliza mlemavu wa miguu kwa ukaribu zaidi.

Comments