Kamishna
Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja(kulia) akizungumza katika
hafla fupi ya utiwaji saini wa Mkataba wa wa Uwekezaji wa Kiwanda cha
Viatu cha Gereza Karanga, Moshi baina ya Shirika la Magereza na Mfuko wa
Jamii wa PPF(kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio,
Oktoba 4, 2016.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF Bw. William Erio(kushoto) na Kamishna Jenerali wa Magereza,
CGP- John Casmir Minja(kulia) kwa pamoja wakisaini Mkataba wa Uwekezaji
baina ya Taasisi hizo mbili katika Ukumbi wa Mkao Makuu ya Jeshi la
Magereza, Jijini Dar salaam, Oktoba 4, 2016
Kamishna
Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja(kulia) na Mkurugenzi Mkuu
wa PPF Bw. William Erio wakibadilishana nyaraka mbalimbali za
Makubaliano katika Mkataba huo kama inavyoonekana katika picha.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP-
John Casmir Minja(kulia) wakionesha nyaraka mbalimbali baada ya hafla
fupi ya utiwaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha Viatu.
Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Mfuko wa Jamii wa PPF wakifuatilia utiwaji saini wa Mkataba wa Uwekezaji.
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakishuhudia utiwaji wa Mkataba huo kama
inavyoonekana katika picha(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
Comments
Post a Comment