Mhe. Doto atambelea Shule ya Msingi Kapwani na kuangalia ujenzi wa choo

Shule ya msingi Kapwani
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kapwani akifungua kikao na kukiacha wazi.

 Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumuza na walimu wa Shule ya Msigi Kapwani.


 Afisa mtendaji wa kata  ya Uyovu (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na walimu wa shule ya msingi Kapwani  wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko
  








Picha ya Vyoo vilivyojegwa na fedha ya mfuko wa Jimbo la Bukombe kwa kusimaniwa na  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko pamoja na kamati yake ya maendeleo.


  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe Doto Mashaka Biteko wakiangalia na waalimu wa Shule ya msingi Kapwani nini Mfuko wa Jimbo umefanya.

Comments